Nahitaji Binti Mchangamfu wa Kubadilishana naye Mawazo!

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Wasalaam Aleikum Ndugu zangu wapenzi!

Kama heading ya Bandiko langu inavyosema, Nahitaji Binti Mchangamfu mwenye stories ambaye naweza kubadilishana nae mawazo na kutoana upweke, asiwe mwenye stress na mambo Mengi.. Nitafurahi zaidi akiwa na elimu atleast kidato cha sita!

Binafsi Mimi nina 25 years ni Mhitimu wa Shahada ya Kwanza, Mrefu Maji ya Kunde.. Kwa mtazamo wa wanawake wengi Mimi ni Mwanamume Handsome!, Najua kuzungumza vizuri, kupangilia ninachokizungumza na pia kiasili ni mtaalamu wa kusoma saikolojia ya mtu ukijumlisha na kusoma saikolojia kidogo!

Karibuni sana PM, ipo kwa ajili yenu!

Muwe na Mchana Mwema!
 
kama mpaka sa h ujapata hy mbunye ya kupiga nae story bc una nyota ya njugu mawe
 
Wasalaam Aleikum Ndugu zangu wapenzi!

Kama heading ya Bandiko langu inavyosema, Nahitaji Binti Mchangamfu mwenye stories ambaye naweza kubadilishana nae mawazo na kutoana upweke, asiwe mwenye stress na mambo Mengi.. Nitafurahi zaidi akiwa na elimu atleast kidato cha sita!

Binafsi Mimi nina 25 years ni Mhitimu wa Shahada ya Kwanza, Mrefu Maji ya Kunde.. Kwa mtazamo wa wanawake wengi Mimi ni Mwanamume Handsome!, Najua kuzungumza vizuri, kupangilia ninachokizungumza na pia kiasili ni mtaalamu wa kusoma saikolojia ya mtu ukijumlisha na kusoma saikolojia kidogo!

Karibuni sana PM, ipo kwa ajili yenu!

Muwe na Mchana Mwema!
komaa sanaa utapata wahuni sio watu wazuri...........
 
Back
Top Bottom