Wasalaam Aleikum Ndugu zangu wapenzi!
Kama heading ya Bandiko langu inavyosema, Nahitaji Binti Mchangamfu mwenye stories ambaye naweza kubadilishana nae mawazo na kutoana upweke, asiwe mwenye stress na mambo Mengi.. Nitafurahi zaidi akiwa na elimu atleast kidato cha sita!
Binafsi Mimi nina 25 years ni Mhitimu wa Shahada ya Kwanza, Mrefu Maji ya Kunde.. Kwa mtazamo wa wanawake wengi Mimi ni Mwanamume Handsome!, Najua kuzungumza vizuri, kupangilia ninachokizungumza na pia kiasili ni mtaalamu wa kusoma saikolojia ya mtu ukijumlisha na kusoma saikolojia kidogo!
Karibuni sana PM, ipo kwa ajili yenu!
Muwe na Mchana Mwema!