Nahitaji blackberry bold 9700

Du mkuu nahisi kama bei yako ni ndogo kidogo kwa aina ya simu unayohitaji!!
 
Simu hiyo kwa Tshs 500,00.00 haiwezekani. Tunaweza kukutafutia hapa US au UK kwa US$ 550.00 shipping to Dar included kama hii hapa:-

NEW UNLOCKED Blackberry Bold 9700 2 WiFi AT&T PDA GSM. Tuandikie: pacificamarine@yahoo.com tuzungumze namna ya kuipata.
 
Tayari nimeipata kwa mdau wa JF and the deal is closed.Thanx JF
 
Nami nahitaji Nokia N8 Kwa Tsh 550,000/=.
mwenye nayo naomba tuwasiliane.
 
Jamani mwenye iphone 4 please tuwasiliane !
 
Hizo zote mnazozitaka zinapatikana sapna huu siyo wakati wakununua simu mkononi jama!unataka status kwa vishoka??wa samora wewe unayeta bbry bold ni pm kwa kunipa no yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…