Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 33
- 33
Wataalamu nataka blender kwaajili ya mahitaji ya nyumbani, ipi ni low price na haitumii umeme sana lakini ni imara sana,
Mnishauri tafadhari
Mnishauri tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna blender inasaga hadi Njugu mawe
keep smiling familiar🙏
Ukitaka kitu kizuri kuhusu bei ndoto sahauWataalamu nataka blender kwaajili ya mahitaji ya nyumbani, ipi ni low price na haitumii umeme sana lakini ni imara sana,
Mnishauri tafadhari
Standard Quality inaenda pamoja na priceHivyo viwango ulivyoweka ni very contradictory;
1. Iwe imara sana;
2. Itumie umeme kidogo sana;
3. Iwe very cheap!
Hakuna kifaa cha aina hiyo duniani.
Chukua Kenwood ndy nzuri bei imechsmka kuanzia 120k au 100kWakuu vpbkuhusu Hz heavy duty mfano silver crest kweny ulaji wake wa umeme?ni sana au kidogo