Nahitaji blender nzuri kwa mahitaji ya nyumbani

Njugu mawe

Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
33
Reaction score
33
Wataalamu nataka blender kwaajili ya mahitaji ya nyumbani, ipi ni low price na haitumii umeme sana lakini ni imara sana,

Mnishauri tafadhari
 
Hivyo viwango ulivyoweka ni very contradictory;
1. Iwe imara sana;
2. Itumie umeme kidogo sana;
3. Iwe very cheap!
Hakuna kifaa cha aina hiyo duniani.
 
Wataalamu nataka blender kwaajili ya mahitaji ya nyumbani, ipi ni low price na haitumii umeme sana lakini ni imara sana,

Mnishauri tafadhari
Ukitaka kitu kizuri kuhusu bei ndoto sahau
 
Hivyo viwango ulivyoweka ni very contradictory;
1. Iwe imara sana;
2. Itumie umeme kidogo sana;
3. Iwe very cheap!
Hakuna kifaa cha aina hiyo duniani.
Standard Quality inaenda pamoja na price
 
Wakuu vpbkuhusu Hz heavy duty mfano silver crest kweny ulaji wake wa umeme?ni sana au kidogo
 
Vipi hizi za kina dada Twambombo..zinazo saga hadi chupa ya soda! Huwa sizielwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…