Nakaribisha yeyote mwenye nia na uwezo wa kuwekeza Tshs 15m katika biashara hai, halali na endelevu. Ni biashara iliyo na mkataba wa miezi 12, inazalisha faida ghafi ya tshs 8.4m kwa mwezi, ama 100.8m kwa mwaka. Imesajiriwa TRA, OSHA, Wizara ya kazi na ajira. Mwenye nia anakaribishwa sana, apitie hati zote stahiki na kujiridhisha, kwa kuwasiliana nami kabla ya Ijumaa tarehe 7th November 2014, kwa e-mail ifuatayo;- excelsiorservicesltd@gmail.com
KARIBUNI>
KARIBUNI>