Hahahaha,jamaa hapo juu karipuka moja kwa moja acha utapeli.
kazi kweli.
Hivi wewe hiyo 15m unaona ndio pesa hasaa ya kuja na mbwembwe zote hizo.
Eti uzalishe 8.4m kwa mwezi au 100m kwa mwaka kwa investement share ya 15m.
Kuna raia wengi usajili wa Mirembe Hospital tumeukimbia.
Nigerians Bongos at work