Nahitaji business partner kwenye startup company ya ku match investor na entrepreneur

Nahitaji business partner kwenye startup company ya ku match investor na entrepreneur

pdz

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Habari!

Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya kuunganisha wajasiriamali/kampuni ndogo na za kati na wawekezaji (investor)/investment company ili kuwawezesha ku access capital kwa ajili ya kukuzia biashara.

Nina uzoefu wa kufanya kazi nao kwa muda fulani, lakini pia kuwashirikisha katika baadhi ya project. Lakini naomba nikiri kwamba capital injection ya investor mara nyingi ilikuwa kubwa than project nilizokuwa nafanya.

Lakini nimepata uzoefu ambao nimeona niutumie kunufaisha wengine, huku na mimi nikijipatia riziki.Nilitaka nianze kufanya in local way ili nikusanye mtaji then nisajili kampuni, lakini kwa kufanya individually in local way, credibility inakuwa ndogo.Nahitaji partner mwenye capital ya 3M as startup capital.

Kwa aliye tayari ani pm au anitumie email (nitajibu maswali yote na kuelezea project kwa undani) smallinvestment356@gmail.com
 
Nipm namba yako ndugu tuone namna hiyo idea yako inavyofanya kazi
 
Nipm namba yako ndugu tuone namna hiyo idea yako inavyofanya kazi

Kwa sasa siwezi kuku pm (sijafikisha post 5) unless we ndio uni pm ni reply, otherwise nitumie email kwa address hiyo nitakuelezea full
 
Back
Top Bottom