Nahitaji Business Partner wa Microfinance ambayo imeshaanza kukopesha

Nahitaji Business Partner wa Microfinance ambayo imeshaanza kukopesha

duanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
16,428
Reaction score
218
Hello.
Nahitaji business partner kwenye microfinance yangu ambayo imeshaanza kazi ya kukopesha wajasiriamali wadogo wadogo. Mahitaji ya wajasiriamali kwa ajili ya mkopo yamekuwa makubwa sana kiasi kwamba nimeshindwa kuwahudumia wote, that is why i need a partner,
Loan repayment is 100%
Kama uko interested ni PM.
Thanks.
 
Back
Top Bottom