Nahitaji business partner wa ufugaji wa kuku wa kienyeji na masoko yake

Nahitaji business partner wa ufugaji wa kuku wa kienyeji na masoko yake

till hustling

Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
36
Reaction score
12
mimi ni mjasiriamali np0 d0d0ma nahtaji marafiki wa biashara ya ufugaji wa kuku kwa kusaidiana zaidi asanteni nitafute kwa email;gmwidimya@gmail.com
 
ungeelezea kwa uwazi zaidi atakayekua na interest akufuate.
kuku wangapi?
wewe una nini tayari?
kipi unahitaji kuongezewa?
 
Nipo tayari kuwekeza na wewe ila kabla sijacomit pesa yangu kwenye mradi naomba kujua kama uko na business plann na pili kama uko na visibility study ya mradi, mie naangalia kuwa kwenye business for 10 to 30yrs so im only intrested into long time investing
 
ungeelezea kwa uwazi zaidi atakayekua na interest akufuate.
kuku wangapi?
wewe una nini tayari?
kipi unahitaji kuongezewa?

AsantE Mkuu Mi Nd0 Naanza kuku Wa Kienyej Kwa Kufuga Kwa Ukisasa Zaid Than Before X0 Nahtaj R0l M0do Katka Biashara Hii.
 
Mimi Ndo Nmeanza Kufuga Kwa Ukisasa Zaidi Than Befor So nahtaj mzoefu kama wew kunisadia ways to improve as u was use so leta on 2taanza mamb0 mengne
 
What do you offer?
Do you have capital..you just need to know what is the ROI?
How big is your business you want it to be? If you dont buy so many equipments ,you get the return on investment same year/first sale.
If you wanna go big ,you need a farm/area,incubators .
Your target customer is high end ,since kuku kienyeji are kind of expensive.
 
AsantE Mkuu Mi Nd0 Naanza kuku Wa Kienyej Kwa Kufuga Kwa Ukisasa Zaid Than Before X0 Nahtaj R0l M0do Katka Biashara Hii.

HATA UANDISHI WAKO UNAWEZA KUPIMA SERIOUSNES NA COMMITMENT ULIYOJIWEKEA KATIKA HILI.Unaweza kuanza pitia nyuzi zilizotangulia kujifunza zaidi...
 
Back
Top Bottom