Nahitaji business partner

rioson

New Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
3
Reaction score
3
NAHITAJI BUSINESS PARTINER

Hallow habari wana JamiiForums

Naitwa Mr Ryoba Wantora, mjasiliamali na mmliki wa kampuni ya Rioson Wood Products iliopo Iringa, inayohusika na uzalishaji na usambazaji wa MBAO na MILUNDA mikoani hapa Tanzania.

Kampuni hii ni ya kwamgu binafsi. na Tunamshukuru Mungu kwa sasa inajulika sehemu mbalbali kupitia matangazo yetu. na kuna baadhi ya makampuni yametiamini kufanya noa kazi kama vile:-
  • Tanzania Building Agency (TBA)
  • Suma JKT
  • Natinal Housing (NHC)
  • China Railway Engineering and Construction (CRJE)
  • Pamoja na wauzaji wa Mbao binafsi mikoani (Dodoma, Tanga, Dar, Morogoro, Mwanza, Arusha n. k.)
Hivyo upande wa soko Tunamshukuru Mungu tumetengeneza customer base imara na tutazidi kuji-brand zaidi.

MALENGO YETU

1. Kua best seller wa Wood material (Timber, poles, na round wood/milunda ndani na nje ya Tanzania. kwani uhitaji hada soko la nje ni mkubwa (Nairobi, Zambia, Congo, Sudani n.k)
2. Kufungua Timber mikoani.
3. Kuwekeza katika mashamba ya miti. (1000 ekaries)

MAFANIKIO YETU MPAKA SASA

1. Tumefanikiwa kumuliki na kupanda mti ekari 70.
2. Kufungua branch (Iringa mjini na Dodoma)
3. Kupata tenda ya kusupply Mbao katika miladi ya ujenzi ya selikali.
4. Kujitangaza na kujulikana sehemu mbalimbali.
5. Pia tunamashine za kuzalishia mbao tatu.

NIA YANGU
Lengo na nia yangu nahitaji business partner alie seriously. Ambae atakua tiali kuwekeza rasilimali Fedha, akili na mda wake. pia awe ni mwenye nia ya dhati ya kuwekeza, mwenye mtazamo na malengo ya mda mrefu.
 

Mimi ndugu yangu sikushauri kabisa kuingia partnership kwa client base na networkuliyotengeneza. Binafsi siamini mtu kuweka pesa anastahili kuwa partner kwani una anza kugawa uhuru wako na decision making kwa 50%. I am sure una assets ambazo unaweza ukazitumia kama collateral na kwa ulivyo andika sababu za kutaka partner ni kwamba unaweza tengeneza business plan nzuri mno. Swala la rasilimali nguvu ajira smart people who you can hire and fire. Mimi natengeneza business plan kama utakuwa tayari karibu ila si lazima kwangu unaweza kwenda kwa mwingine pia wataalamu tuko wengi sana.
 
Hongera sana kwa kujituma. Business partner ni muhimu Sana lakini uwe Makini sana. At this level usichague business partner kwa sababu ya mtaji tu. Angalia sifa ya ziada,mfano kama ukipata mtu ambaye ana jina kubwa ambalo unaweza kulitumia kupenetrate kirahisi kwenye market. Mfano anaweza kuwa boss kwenye ofisi kubwa mwenye influence kwenye manunuzi lakini pia akawa na mtaji wa kutosha nk
 
iringa mko eneo gani
 
kuanzia 10mil mkuu
Pesa kidogo sana kwa maono uliokuwa nayo na ulipofika nakusihi usiangalie pesa tu yapo mambo mengi yakuangalia ....experince,expertise ya huyo mtu ,terms na condition zake , percentage ya umiliki na ufanyaji maamuzi,malengo yake hasa particular kwenye business,value addition yake kwenye iyo biashara

Kuwa makini sana partners sio rahisi kama marafiki ni very tricky naamini utakuwa na uwezo wa kufahamu haya
 
Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...
 
So ikiwa una kampuni, maana huyo mbia unayemhitaji, utamuunga vipi kwenye kampuni (biashara), utauza hisa au kampuni yenu na Yeye as individual or kama ana kampuni mtaanzisha uhusiano Wa kibiashara...kisheria? Akiwa na hizo 10m,...mtamuunga vipi kwenye kampuni yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…