Mshika Bunduki
Member
- Jan 14, 2015
- 79
- 18
Habari Wanajamii
Poleni sana na shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazowakabili.
Nina ekari 35 za shamba zilizopo Mlandizi ndani na nategemea kuzitumia kwa ajiri ya kilimo na ufugaji.
Nategemea kufuga kuku wa kienyeji na wa kisasa zaidi ya elfu 20 lakini pia ufugaji wa samaki
Nategemea kufanya kilimo cha matunda na umwagiliaji kwa mazao mbalimbali kutegemeana na aina ya maji yanayopatikana.
Mradi ni mkubwa sana na lengo ni kuajiri watu zaidi ya 50 lakini kuzidisha kipato kwa muda mfupi kupitia biashara ya kilimo na ufugaji.
MAHITAJI
-Fedha kwa ajiri ya kusafisha shamba
-Uchimbaji wa kisima wenye gharama ya Tsh.5,000,000/=
- Ujenzi wa mabanda ya kuku
- Vyakula vya kuku na madawa
-Ma-tank ya maji.
Kwa makadirio ya juu jumla ya Tsh.20,000,000/= itatosha kabisa kuanzisha mradi.
Nina uzoefu mkubwa katika ufugaji na kilimo tajwa hapo juu.Nahtaji Business Partners hadi watu 5.Ushauri na maoni yanakaribishwa.
Kwa wale wanaohitaji kushirikiana nami wanaweza kuni-Pm ili tujue tunaweza kufanya nini.