SOFTWARE Nahitaji business ya stationary

Munirah seiph

Senior Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
108
Reaction score
107
Habari zenu... Nilikuwa naomba mtu anayeweza kuandaa busness plan nzuri ya stationary kama kuna yoyote anayefahamu kuandaa naomba anitext private kuhusu malipo tutakubaliana. Nahitaji mtu seriousna hili tafadhali🙁
 
  1. HABARI ZENU... NILIKUWA NAOMBA MTU ANAYEWEZA KUANDAA BUSNESS PLAN NZURI YA STATIONARY KAMA KUNA YOYOTE ANAYEFAHAMU KUANDAA NAOMBA ANITEXT PRIVATE KUHUSU MALIPO TUTAKUBALIANA. NAHITAJI MTU SERIOUSNA HILI TAFADHALI🙁
Hivi ndivyo vitu vinawakwamisha watu wengi!!!!!! Yaani biashara ya kununua counter books, madaftari, vichongeo, files, photocopy paper, photocopier machine, binding mashine, nk mpaka uandikiwe andiko tena uanze kupunguza hiyo akiba yako? Ama kweli tuna vyeti vya kuhitimu vyuo hatuna elimu kichwani
 
Mimi mwenyewe sijamuelewa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uelewa wako ni mdogo na ndomana hata uliweza kucomment maneno mengi lakini hayana maana. labda tu nikufunze jambo sio kila mtu anaweza kuwa kama ww unaonekana huna uwezo wa kufikiria na pia hujui umuhimu wa business plan na wala hujui matumizi yake. pole kwa hilo pia
 
Naomba hesabu zako za miaka mitatu zilizokaguliwa nikuandikie BURE ili ujue kuwa najua
 
baba me sijataka ukongwe nimehitaji business plan mbona nimeandika kwa lugha nyepesi sijaomba ushauri wa kuanzisha biashara
 
Mkuu naomba niombe msaada kwako
Nahitaji fungua stationery ambayo ni medium
Nahitaji
Canon ir2520
Desktop computer
Epson l382 printer
Binding machine
Lamination machine
Paper cutter
Stepler machine kubwa.
Je nahitaji kiasi gani? Na pia nitashukuru kama waweza nipa duka lenye bei nafuu wanao supply stationery materials
Mkuu Mimi mwenyewe unayenidharau ni mkongwe wa hiyo biashara ya steshenari kwa miaka sasa,na watu wengi sana nimewadirect kwenye hii biashara

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom