Munirah seiph
Senior Member
- Aug 14, 2017
- 108
- 107
dmmimi ila kwnye serious sana hapo hicho kigezo sina mimi nina kiasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndivyo vitu vinawakwamisha watu wengi!!!!!! Yaani biashara ya kununua counter books, madaftari, vichongeo, files, photocopy paper, photocopier machine, binding mashine, nk mpaka uandikiwe andiko tena uanze kupunguza hiyo akiba yako? Ama kweli tuna vyeti vya kuhitimu vyuo hatuna elimu kichwani
HABARI ZENU... NILIKUWA NAOMBA MTU ANAYEWEZA KUANDAA BUSNESS PLAN NZURI YA STATIONARY KAMA KUNA YOYOTE ANAYEFAHAMU KUANDAA NAOMBA ANITEXT PRIVATE KUHUSU MALIPO TUTAKUBALIANA. NAHITAJI MTU SERIOUSNA HILI TAFADHALIπ

uelewa wako ni mdogo na ndomana hata uliweza kucomment maneno mengi lakini hayana maana. labda tu nikufunze jambo sio kila mtu anaweza kuwa kama ww unaonekana huna uwezo wa kufikiria na pia hujui umuhimu wa business plan na wala hujui matumizi yake. pole kwa hilo piaHivi ndivyo vitu vinawakwamisha watu wengi!!!!!! Yaani biashara ya kununua counter books, madaftari, vichongeo, files, photocopy paper, photocopier machine, binding mashine, nk mpaka uandikiwe andiko tena uanze kupunguza hiyo akiba yako? Ama kweli tuna vyeti vya kuhitimu vyuo hatuna elimu kichwani
huwezi kuelewa kwa sababu hujui tofauti ya biashara ya kununua na biashara yenye mipango ya kununua
Naomba hesabu zako za miaka mitatu zilizokaguliwa nikuandikie BURE ili ujue kuwa najuauelewa wako ni mdogo na ndomana hata uliweza kucomment maneno mengi lakini hayana maana. labda tu nikufunze jambo sio kila mtu anaweza kuwa kama ww unaonekana huna uwezo wa kufikiria na pia hujui umuhimu wa business plan na wala hujui matumizi yake. pole kwa hilo pia
huwezi kuelewa kwa sababu hujui tofauti ya biashara ya kununua na biashara yenye mipango ya kununua
Msaidieni sasa sio mnajimwambafy apa.....Mkuu Mimi mwenyewe unayenidharau ni mkongwe wa hiyo biashara ya steshenari kwa miaka sasa,na watu wengi sana nimewadirect kwenye hii biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitumie email yako nikupe TEMPLATEbaba me sijataka ukongwe nimehitaji business plan mbona nimeandika kwa lugha nyepesi sijaomba ushauri wa kuanzisha biashara
Stationary x
HABARI ZENU... NILIKUWA NAOMBA MTU ANAYEWEZA KUANDAA BUSNESS PLAN NZURI YA STATIONARY KAMA KUNA YOYOTE ANAYEFAHAMU KUANDAA NAOMBA ANITEXT PRIVATE KUHUSU MALIPO TUTAKUBALIANA. NAHITAJI MTU SERIOUSNA HILI TAFADHALIπ
ok
munirathseiph@gmail.comNitumie email yako nikupe TEMPLATE
si ndo hapoMsaidieni sasa sio mnajimwambafy apa.....
am better here
badala watoe msaada wanabwatasi ndo hapo
Mkuu Mimi mwenyewe unayenidharau ni mkongwe wa hiyo biashara ya steshenari kwa miaka sasa,na watu wengi sana nimewadirect kwenye hii biashara
Sent using Jamii Forums mobile app