SOFTWARE Nahitaji business ya stationary

Uko mkoa gani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza inabidi ufanye suryey ya eneo lako la biashara,kama hakuna wateja wengi sana haina haja ya kuwa na mashine kubwa ya kopi,,paper cutter ni sh almost 30 elf,stapler machine kubwa ya kangaroo ambayo ni imara ina sh 80 elfu,laminating machine ni almost 130.000/=,so kama eneo inalofanyia kazi hakuna wateja wengi yaani ambapo hutumiii zaidi ya ream paper moja kwa siku,nakushauri ununue Epson mashine l850 ambayo unafanya kazi ya kutoa kopi,kuprinti na kuscan, ni nzuri sana hii printer,kama kuna sehemu hujaelewa uliza mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ndugu nadhan haitakuwa na shughuli nyingi.epson l850 nayo si kitoto nimeona ni m 1 had m 1 na laki tatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…