BABA NEJAD
Member
- Nov 24, 2014
- 43
- 44
Habari za mchana.
Nina pikipiki yangu Aina ya Piaggio, model ni Gilera runner SP malossi, two stroke engine CC 180. Hii pikipiki inatumia fuel pump na oil pump, zinatumika sana kwa ajili ya mashindano. Miezi km Miwili iliyopita iliua pump ya mafuta Na oil Pamoja Na carburetor yake ikawa ina float mafuta kwa hyo fundi akanishauri kutafuta spea nyingine ili nifanye replacement. Jana nilizunguka maduka yote ya spea za pikipiki Kariakoo, maduka makubwa na madogo Lakini bahati mbaya nilikosa hizo spea. Sasa Wadau Naomba km kuna yeyote anaefahamu mahali ninapoweza kupata Hzo spea, Pamoja Na bei zake. Natanguliza shukrani zangu kwenu. Ahsante.
Najaribu kuattach picha za hyo pikipiki Na hzo spea ninazohitaji Ila bahati mbaya naambiwa " You don't have permission...