Nahitaji certified mbegu za maharage ya njano

Uzalishaji wa mbegu za maharage ni changamoto kubwa nchini kwetu bado ni wa chini mno.
 
Certified seed una maana gan . Mbegu zilizo zibitishwa na mamlaka . Au mbeg zilizo zalishwa ambapo zko stage ya certification 2 from pre basic seed
 
Mbegu ziizothibitishwa na mamlaka. Kwa ufupi zimewekwa viatilifu kwa ajili ya kupambana na magonjwa na wadudu, na zinatoa mazao mengi.
 
Back
Top Bottom