Habari wakuu,
Jamani nina shida na chainsaw, Nahitaji kwaajili ya kukatia miti eneo linalokadiriwa kuwa la ekari 50-100. wapi ninaweza kununua mpya? bei zake ni kiasi gani?
Recommendation on which size is suitable, 50cc, 80cc or above that?
Asanteni sana.
mkuu hiyo mashine niliwahi kuinunua long(2006) hapo dsm duka moja lipo samora avenue kwa tsh900000.mwaka jana jamaa yangu aliinunua kisii kenya kwa ksh80000 sawa na 1500000 hivi ya tz.chain saw nzuri ni husqavarna 268.zingine zote ni ovyo.kwa maelezo zaidi nipm au whatsapp 078670506 ili usipate shida maana kazi ya chainsaw nimeifanya sana