wakusoma21
Member
- Nov 16, 2019
- 29
- 78
Habari ya Kazi, poleni na harakati za kila siku. Nimekuja mbele yenu ili mnijuze kiuagugu ambacho ni Bora kwenye maharage. Yaaan namaanisha Chenye ufanisi mkubwa kuua magugu na nyasi na kuacha maharage. Nikipata jina la hiyo kiuagugu kama ni la biashara (trade name) au la kisayansi (generic name) pia ikiwezekana Kwa picha ya hicho kiua gugu. Mungu awabariki sana