wakusoma21
Member
- Nov 16, 2019
- 29
- 78
Nasubili maaana lile Jani lililo shamban ni balaaaaAsante kwa Bandiko Mkuu.
WAKUU WANAKUJA KUKUPA MIONGOZO, TULIA HAPOHAPO (USIONDOKE).
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Shukrani bossTumia kiua gugu kiitwacho Byter. Kwa maelezo zaidi mpigie wakala wa Byter company. 0758908909
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tumia moja kati ya hiziHabari ya Kazi, poleni na harakati za kila siku. Nimekuja mbele yenu ili mnijuze kiuagugu ambacho ni Bora kwenye maharage. Yaaan namaanisha Chenye ufanisi mkubwa kuua magugu na nyasi na kuacha maharage. Nikipata jina la hiyo kiuagugu kama ni la biashara (trade name) au la kisayansi (generic name) pia ikiwezekana Kwa picha ya hicho kiua gugu. Mungu awabariki sana
Bontazone400g/l au 155g/l magugu yakishaota
Metolachlor 900g/l kabla magugu kuota
Glyphosate 480g/l