Ulipataje vyote hivyo bila kuwa na cheti cha kuzaliwa mkuu?Salamu,wadau!
Ni Mimi ni mtu mzima ,over 45 ,Nahitaji kitambulisho chrti cha uzaliwa ,kinqhitajika kwa haraka.Issue Iko hivi nahitaji kurew passport ,sasa nahitajika kuwa na Cheti cha kuzaliwa! Nifanyeje...Nina National Id,Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi...Serikali,Tin No ...
Mifumo ilikuwa haijasomana mkuu! Kuwa navyo hivi vitu kulinifanya pia ni bweteke! ....kuwa nimekamilka sasa yamenikuta!Kumbuka hata Passport ninayo ila imeisha mida wake!Ulipataje vyote hivyo bila kuwa na cheti cha kuzaliwa mkuu?
Hiyo,pesa nipekeleke wapi mkuu!🙂↔️Una pesa? Unakipata kwa siku moja tu vyotee
Kwa kuwa ni dharula basi inabidi ufanye hivi:Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
Soma nilicho andika "muhimu". Ukiwa kwenye ofisi husika ndipo connection zitajitokeza na utafanikishiwa hapo kwa hapo.Hiyo,pesa nipekeleke wapi mkuu!🙂↔️
Ahsante sana Mkuu!Soma nilicho andika "muhimu". Ukiwa kwenye ofisi husika ndipo connection zitajitokeza na utafanikishiwa hapo kwa hapo.
Habari mkuu,hivi kuprint fomu ni lazima baada ya kulipia? Halafu niisaini na kuipeleka Rita ikasainiwe na kuiscan tena ili nii upload kumalizia application?? Maana nmesha lipia halafu naambiwa dowload form..Kwa kuwa ni dharula basi inabidi ufanye hivi:
1. - Ingia "eRITA Portal" jisajiri
---
- Upate Control number.
- Kisha lipia.
2. Print fomu yako toka eRITA Portal
- Muhimu: Kawaida huwa inatakaiwa tusubirie siku kadhaa ndipo ufuate cheti, ila kwa wewe, baada tu ya kuprint fomu husika. Nenda nayo kwenye ofisi husika uliyochagua kuchukulia cheti chako, Ukifika tafuta wahuiska, eleza shidayako, watakupa mwongozo zaidi na kukuelza kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani na ndi ndani ya muda ganmi.
View attachment 3398172
Habari mkuu,hivi kuprint fomu ni lazima baada ya kulipia?
Halafu niisaini na kuipeleka Rita ikasainiwe na kuiscan tena ili nii upload kumalizia application??
Maana nmesha lipia halafu naambiwa dowload form..
Ahsante mkuu. Nikisha printi nitasaini na kupeleka Rita pia akasaini ndipo ni scan na kuapload kwenye mfumo?? Ama nitasaini mimi tu kwanza sehemu yangu kisha ku scan na kuapload kwenye mfumo?? Maana kuna sehemu ya kusaini Rita wilaya ambapo nitapokelea cheti
- Ndio ni lazima
- 1. Sababu kuna mahala unatakiwa usaini
- 2. Pia unapofuata cheti chako hatua ya kwanza ni kukabidhi fomu uliyo print kisha ukasaini sehemu husika.
Ahsante mkuu. Kwa hyo sehemu ya ku apload document ambayo iko signed panabaki wazi??.- Nenda kachukue Cheti.
- Fanya hivyo,
- Download fomu iliyokamilika
- Subiri siku kadhaa
Nipo hapa mkuu,wanasema ni upload signed document niliyo download...- Nenda kachukue Cheti.
- Fanya hivyo,
- Download fomu iliyokamilika
- Subiri siku kadhaa
NENDA RITA UKIWA NA VIGEZO VINAVYOSTAHILI UPEWE UNAKIPATA SIKU HIYO HIYOSalamu,wadau!
Nina umri zaidi ya miaka 45, sina cheti cha kuzaliwa.
Nahitaji kitambulisho hicho kwa dharura ili niweze kuomba passport.
Nina kitambulisho cha taifa (National ID), kitambulisho cha kazi, na TIN Number.
Je, nifanyeje kupata cheti cha kuzaliwa?
Mkuu Mwl.RCTNipo hapa mkuu,wanasema ni upload signed document niliyo download..
View attachment 3411777