Nahitaji chumba cha kupanga mabibo kwa uharaka

Nahitaji chumba cha kupanga mabibo kwa uharaka

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari Wakuu,

Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani.

Piga 0713 039 875.
 
nenda maeneo mburahati hapo ni karibu na chuo chako.
Kodi ni nzuri na vyumba vingi tu.dakika 15 kwa miguu kufika chuo hapo
 
Hapana mbona vipo vingi tu.mimi na nyumba hapo ila wapangaji hawataki kuhama sababu ni mzungu na hakuna jamu.
Ila vipo vingi ninafahamu hayo maeneo
Kama una connection mkuu niunganishe nao aisee nimetafuta vyumba hapo mburahati nimekosa kabisa.
 
Back
Top Bottom