Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Oct 31, 2023 #1 Habari Wakuu, Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani. Piga 0713 039 875.
Habari Wakuu, Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani. Piga 0713 039 875.
Dr. Zaganza JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 1,414 Reaction score 2,181 Nov 1, 2023 Thread starter #2 yes wakuu
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Dec 9, 2023 #3 Mlolongo said: fala wewee Click to expand... Kwa nini?
D Double N JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 290 Reaction score 550 Feb 25, 2024 #4 Vipi alipata??
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 25, 2024 #5 nenda maeneo mburahati hapo ni karibu na chuo chako. Kodi ni nzuri na vyumba vingi tu.dakika 15 kwa miguu kufika chuo hapo
nenda maeneo mburahati hapo ni karibu na chuo chako. Kodi ni nzuri na vyumba vingi tu.dakika 15 kwa miguu kufika chuo hapo
D Double N JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 290 Reaction score 550 Feb 25, 2024 #6 Kaka yake shetani said: nenda maeneo mburahati hapo ni karibu na chuo chako. Kodi ni nzuri na vyumba vingi tu.dakika 15 kwa miguu kufika chuo hapo Click to expand... Vyumba hapo ni adimu kinoma
Kaka yake shetani said: nenda maeneo mburahati hapo ni karibu na chuo chako. Kodi ni nzuri na vyumba vingi tu.dakika 15 kwa miguu kufika chuo hapo Click to expand... Vyumba hapo ni adimu kinoma
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 25, 2024 #7 Mmanyanigho said: Vyumba hapo ni adimu kinoma Click to expand... Hapana mbona vipo vingi tu.mimi na nyumba hapo ila wapangaji hawataki kuhama sababu ni mzungu na hakuna jamu. Ila vipo vingi ninafahamu hayo maeneo
Mmanyanigho said: Vyumba hapo ni adimu kinoma Click to expand... Hapana mbona vipo vingi tu.mimi na nyumba hapo ila wapangaji hawataki kuhama sababu ni mzungu na hakuna jamu. Ila vipo vingi ninafahamu hayo maeneo
D Double N JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 290 Reaction score 550 Feb 27, 2024 #8 Kaka yake shetani said: Hapana mbona vipo vingi tu.mimi na nyumba hapo ila wapangaji hawataki kuhama sababu ni mzungu na hakuna jamu. Ila vipo vingi ninafahamu hayo maeneo Click to expand... Kama una connection mkuu niunganishe nao aisee nimetafuta vyumba hapo mburahati nimekosa kabisa.
Kaka yake shetani said: Hapana mbona vipo vingi tu.mimi na nyumba hapo ila wapangaji hawataki kuhama sababu ni mzungu na hakuna jamu. Ila vipo vingi ninafahamu hayo maeneo Click to expand... Kama una connection mkuu niunganishe nao aisee nimetafuta vyumba hapo mburahati nimekosa kabisa.