nahitaji chumba cha kupanga

nahitaji chumba cha kupanga

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kunisaidia ajitokeze na anipe bei chumba hicho.

wasalaam
ladyf
 
Nimepanga nyumba kubwa ya vyumba vitatu, sebule, jiko na choo. Njoo nikupangishe chumba kimoja kwa kodi ya Tsh elfu tano tu za Kitanzania. Masharti ni kuwa uwe peke yako, yani usije na mtoto, house girl wala familia, pia usiwe unakunywa pombe...
 
Mkuu una hamu sana ya Kukaa / Kuishi maeneo ya Victoria au Makumbusho?
 
Nimepanga nyumba kubwa ya vyumba vitatu, sebule, jiko na choo. Njoo nikupangishe chumba kimoja kwa kodi ya Tsh elfu tano tu za Kitanzania. Masharti ni kuwa uwe peke yako, yani usije na mtoto, house girl wala familia, pia usiwe unakunywa pombe...
hajakwambia anatafute mume, kasema anatafuta chumba.
sasa masharti yote ya nini hayo?
 
bora umeliona hilo na umenisaidia maana wengine wanafikiria utani mm niko serious natafuta chumba ndo maana natoa tangazo la kusaidiwa hapa na wana jf wenzanngu
 
Habari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kunisaidia ajitokeze na anipe bei chumba hicho.

wasalaam
ladyf
Kama uko serios nipm kuna chumba kizuri hapa karibu na stand ya makumbusho
 
Habari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kunisaidia ajitokeze na anipe bei chumba hicho.

wasalaam
ladyf
Weka mawasiliano yako hapa au njoo pm.
 
Unanifatilia kumbeee!!
Mwenge na Sinza vyumba havikamatiki.
Mtu anapangisha chumba utadhani nyumba nzima
...utakuwa unaiskilizia sana hela labda
...180/200 unapata chumba self na sebule swafi kabisa bila kwikwi!
 
NATAFUTA CHUMBA kimoja single, MUHEZA MJIN AU KOROGWE MJINI, AU MOMBO; KAMA KIPO NIJUZE.
 
Back
Top Bottom