ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Habari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kunisaidia ajitokeze na anipe bei chumba hicho.
wasalaam
ladyf
hajakwambia anatafute mume, kasema anatafuta chumba.Nimepanga nyumba kubwa ya vyumba vitatu, sebule, jiko na choo. Njoo nikupangishe chumba kimoja kwa kodi ya Tsh elfu tano tu za Kitanzania. Masharti ni kuwa uwe peke yako, yani usije na mtoto, house girl wala familia, pia usiwe unakunywa pombe...
nataka niwe jirani na ninapofanyia kazi sitaki kuwa mbaliMkuu una hamu sana ya Kukaa / Kuishi maeneo ya Victoria au Makumbusho?
bora umeliona hilo na umenisaidia maana wengine wanafikiria utani mm niko serious natafuta chumba ndo maana natoa tangazo la kusaidiwa hapa na wana jf wenzannguhajakwambia anatafute mume, kasema anatafuta chumba.
sasa masharti yote ya nini hayo?
nataka niwe jirani na ninapofanyia kazi sitaki kuwa mbali
Kama uko serios nipm kuna chumba kizuri hapa karibu na stand ya makumbushoHabari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kunisaidia ajitokeze na anipe bei chumba hicho.
wasalaam
ladyf
Weka mawasiliano yako hapa au njoo pm.Habari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi ya hapo. Mwenye kunisaidia ajitokeze na anipe bei chumba hicho.
wasalaam
ladyf
Kama uko serios nipm kuna chumba kizuri hapa karibu na stand ya makumbusho
Kimeshapata mteja.Hiko chumba bado kipo boss??
Nahitaji sana chumba sebule master maeneo ya makumbusho hadi Nyamala
Kimeshapata mteja.
Kuna kama unavyoitaji maeneo ya sinza whiteinn
...mdogomdogo utajikuta Chanika huko!Tatizo bajeti yangu 100 mpaka 150.
Mitaa hiyo chumba kimoja tu 180.
...mdogomdogo utajikuta Chanika huko!
..ulianza karibu na Udsm,sahivi ushajivuta mpaka M'nyamala dadeki!
...utakuwa unaiskilizia sana hela labdaUnanifatilia kumbeee!!
Mwenge na Sinza vyumba havikamatiki.
Mtu anapangisha chumba utadhani nyumba nzima
Nicheki pmTatizo bajeti yangu 100 mpaka 150.
Mitaa hiyo chumba kimoja tu 180.
gmeil=gmailNahitaji chumba cha kupanga tabora kalibu na chuo cha ardhi tabora.kiwena maji na umeme lakin cha kawaida kwanza 10'000.nijulishe . Goodnessjackson@gmeil.com.