C chofachogenda Senior Member Joined Oct 6, 2016 Posts 107 Reaction score 199 Jul 11, 2019 #1 Nahitaji vyumba viwili kimoja kiwe master maeneo ya kigambo maeneo ya mji mwema, kisiwani, vijibweni, mbuyuni n.k bajeti yangu ni 150000 mpaka 200000 kiwe maeneo mazuri kuwe na maji na umeme
Nahitaji vyumba viwili kimoja kiwe master maeneo ya kigambo maeneo ya mji mwema, kisiwani, vijibweni, mbuyuni n.k bajeti yangu ni 150000 mpaka 200000 kiwe maeneo mazuri kuwe na maji na umeme
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Jul 17, 2019 #2 Hili bandiko peleka jukwaa la matangazo madogomadogo. Siku mkigombana na mwenye nyumba au akikupa mkataba huuelewi ndio uje huku Jukwaa la Sheria.
Hili bandiko peleka jukwaa la matangazo madogomadogo. Siku mkigombana na mwenye nyumba au akikupa mkataba huuelewi ndio uje huku Jukwaa la Sheria.