House4Rent Nahitaji chumba na seble kwa bei nzuri

House4Rent Nahitaji chumba na seble kwa bei nzuri

MALISA92

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
148
Reaction score
57
Habarini za saa hii wakuu..nina uhitaji wa chumba kimoja na seble.
Ningependa kiwe maeneo ya kuanzia kimara Kona hadi kimara mwisho. Au pia maeneo ya bara bara ya kwenda kwa mzee wa Upako kutokea Ubungo riverside. Tuwasiliane kwa number hizi kama kuna mwenye nacho 0658 020361
 
Back
Top Bottom