Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Tmk mwisho stendi. Bei ya laki chumba nasebule du hupati sijui huko km utapata
me naishi sinza kumekucha nalipa 120000 kwa mwezi chumba and sebule, nyumba ful maji and umeme na parking kubwa ya kukaa magari 3! nina rafiki yangu yupo maeneo ya knyama chumba na sebule analipa 100000, jamaa yangu mwingine yupo ubungo chumba na sebule analipa 100000, Acha upotoshaji mkuu, wewe chadema nini?
Naomba namba ya dalali
ningekuwa na namba ya dalali ningepost hapa? wabongo bana, ndo maana zero hazipungui mashuleni