NAHITAJI CHUMBA

NAHITAJI CHUMBA

mr chakubanga

Senior Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
124
Reaction score
260
habari wanabodi napenda kukaribisha madalali na wamiliki wa vyumba na wengineo wote ili nipate chumba , eneo ninalotaka
mikocheni, oysterbay au kinondoni ili niwe karibu na eneo la kazi , chumba kimoja self kikijitegemea itapendeza zaidi bajeti 150-200k karibuni
 
kuna chumba maeneo ya kitunda-machimbo sifa ni chumba sebule na choo ndani ila maji una chota nje/
 
Back
Top Bottom