habari wanabodi napenda kukaribisha madalali na wamiliki wa vyumba na wengineo wote ili nipate chumba , eneo ninalotaka
mikocheni, oysterbay au kinondoni ili niwe karibu na eneo la kazi , chumba kimoja self kikijitegemea itapendeza zaidi bajeti 150-200k karibuni