kwa definition yangu masters is a political education basing ya field angu ya biashara so nahitaji kusoma chuo chenye credibility na kimeandikishwa na kinatambulika kitoacho masters kwa muda wa mwaka mmoja tuu msaada !