sahau mkuu, labda kama unataka kupigwa, kwa iyo bei hata 1050 ya mchina used hupatiisizidi 370000
Hata 1.2m hupati labda iwe haina hio 1050.Sifa za hii mashine haiwezi kuwa dukani. Dili na walioishiwa au za dili. Processor 9th generation ya intel ndio bei yake iyo uliyoandika. Hii mashine dukani kama upo serious weka 1.2 mfuko wa shati.
Kweli asee, maana hata pc refubrished huapati kwa bei hiyoAu mtoa mada kuna sifuri moja umesahau kuiweka mwisho wa budget yako