NHC wako maeneo mengi hapo dar..Hi,
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji ambao wana plan ya kutoka katika hizi nyumba kwa sababu mbali mbali.
Eneo langu la kazi ni Posta karibu na makahama ya Kisutu, nahitaji uraisi wa kwenda kazini na kurudi home.
Ahsanteni sana.
Mawasiliano yangu ni: 0766 449 621
Uko asiende ata kama chumba atapewa bure.Njoo keko 250 k room mbili na choo ndani
wezi vibaka majambawaziiiUko asiende ata kama chumba atapewa bure.