Mtanzania Mnyonge22
Senior Member
- Sep 2, 2022
- 125
- 455
Ni kweli Mkuu. Natumai nitapata mtu mwema na mwaminifuHii biashara inataka umakini sana.
Blue sapphire na Red garnet(aka Rozi gololi) unataka nyingi kiasi gani na punje za size gani mkuu?Ni kweli Mkuu. Natumai nitapata mtu mwema na mwaminifu
Blue Sapphire Size 1 gram upBlue sapphire na Red garnet(aka Rozi gololi) unataka nyingi kiasi gani na punje za size gani mkuu?
Ni kweli Mkuu. Natumai nitapata mtu mwema na mwaminifu
Toa ww bei yakoUnanunua bei ngapi?
Ngoja wadau wangu wako chimbo.Blue Sapphire Size 1 gram up
Red Garnet hawahitaji.
Nahitaj brue sulphareBlue sapphire na Red garnet(aka Rozi gololi) unataka nyingi kiasi gani na punje za size gani mkuu?
0712229974 nicheki nikupe hayo madiniHabari Wakuu,
Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi.
spinal sapphire aquamarine tourmaline
Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.
Hyo bocHabari Wakuu,
Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi.
spinal sapphire aquamarine tourmaline
Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.
Mbona Tarehe ni december?🤔
Ulishapata mkuu?Mbona Tarehe ni december?🤔
Mimi nina tourmaline.Habari Wakuu,
Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi.
spinal sapphire aquamarine tourmaline
Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.