Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kueleza sababu za
kuhitaji hiyo connection nadhani inaweza kuwa ngumu! Ingekuwa tunatumia
real ID ningekushauri ujieleze japo wewe ni nani, unafanya nini na
kwanini unataka connection na mtu wa pande hizo. Vinginevyo watu
watakuwa waoga wa kukuunganisha kwa kujiuliza hivyo na mwisho wasiku
utashindwa kufanikiwa lengo lako. Ni ushauri tu si lazima
kuuzingatia.
mm ni raia wauk...haya ni pm ...kwanza.asante mkuu,ni kuhusu mambo ya kibiashara,raia wa UK atahusika kama linkage na wateja wetu wa UK ila verification ni muhimu that is why tunamuhitaji