Nahitaji connection ya raia wa uingereza anayeishi au kufanya kazi hapa tanzania

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
883
Reaction score
1,291
habari wakuu,naomba msaada wa kupata mtu raia wa UK anayeishi au kufanya kazi hapa dar,Tz..au mtu yeyote anayemjua raia wa UK aniunganishie.kwa yeyote atayenipa msaada naomba anipm tuwasiliane zaidi,natanguliza shukrani.MUNGU AWABARIKI
 
Bila kueleza sababu za kuhitaji hiyo connection nadhani inaweza kuwa ngumu! Ingekuwa tunatumia real ID ningekushauri ujieleze japo wewe ni nani, unafanya nini na kwanini unataka connection na mtu wa pande hizo. Vinginevyo watu watakuwa waoga wa kukuunganisha kwa kujiuliza hivyo na mwisho wasiku utashindwa kufanikiwa lengo lako. Ni ushauri tu si lazima kuuzingatia.
 

asante mkuu,ni kuhusu mambo ya kibiashara,raia wa UK atahusika kama linkage na wateja wetu wa UK ila verification ni muhimu that is why tunamuhitaji
 
asante mkuu,ni kuhusu mambo ya kibiashara,raia wa UK atahusika kama linkage na wateja wetu wa UK ila verification ni muhimu that is why tunamuhitaji
mm ni raia wauk...haya ni pm ...kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…