Nahitaji contact ya kiongozi yeyote wa chuo cha utabibu kilosa

smtext

Member
Joined
Nov 1, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Mimi ni mmoja ya wanafunzi waliochaguliwa na wizara ya afya kujiunga na chuo cha utabibu kilosa na bado sijapata joining form.naomba yeyote mwenye mawasiliano ya kiongozi yeyote wa hapo chuoni anisaidie niwasiliane nao.
 
Ndugu naona tupo wote ila mimi nimechaguliwa chuo cha uuguzi kahama, siku tatu zilizopita nikaamua kwenda wizarani kuulizia joining nikaambiwa bado hazijatoka, katika siku 3 za karibuni zitakuwa tayari kama ikiwa bado niende tena kuulizia, na kila kitu kitasogezwa mbele cha ajabu taarifa hizi haziwekwi wazi tuzijue sijui inakuwaje?
 
Kwa ushauri wangu jaribuni kuserch group za hivyo vyuo katika facebook huenda mkahata hizo group humo mtapata wanafunzi walio soma ambao wana contact za hivyo vyuo au wanafunzi ambao wanaendelea kusoma wakawapa hizo contact
#all the best#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…