Ibn Abdillah6
Member
- Sep 3, 2020
- 60
- 29
Poaa ndugu acha nijaribu na kwakeMcheki jamaa anajiita highlifeTz alikuwa na account whatsapp, facebook na telegram ,alishawahi niuzia kava ya xiaomi kipindi cha nyuma ila sijui kama bado anaziuza. Kipindi kile alikuwa anapatkana upanga-DSM,namba yake hii [emoji117]0717233555.
Ndugu shida ni kwamba sijawah kununua bidhaa huko na hata namna ya kufanya pia sijui kakaSehemu sahihi isiyo na usumbufu ni AliExpress pekee!
Agiza ukiwa chumbani kwako ndani ya wiki 3 tu au chini ya hapo kama utakuja kwa speedaf!
Kama sio mzoefu kuna watu humu ambao ni trusted wanawaagizia watu kamaNdugu shida ni kwamba sijawah kununua bidhaa huko na hata namna ya kufanya pia sijui kaka
Sawaa ndugu acha nimchek huyo jamaa [emoji119]Kama sio mzoefu kuna watu humu ambao ni trusted wanawaagizia watu kama
@mr mobile