Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Unataka pure au wale wenye mchanga kidogoNaweza kukupatia dagaa wa baharini,ila hawauzwi kwa gunia.Wanauzwa kwa kg,cont:0713963812
Unataka pure au wale wenye mchanga kidogoHello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
Unataka Dagaa wa kiwango cha gunia halafu unahtaji muuzaji ndiyo akwambie ujazo wa Gunia au wewe mnunuzi ndiyo ulipashwa kuweka vigezo na ubra wa dagaa unaowahitaji???? Ngoja waje wakujibuHello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
niko tayari,tuanze lini?Hello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
Habari yako vipi mkuu bado unahitaji dagaa???Hello Gentleman and Ladies,
Ninahitaji dagaa Kwa bei ya jumla ,nahitaji anzia gunia 200 wawe wa kigoma ,mwanza Au Zanzibar ,gunia zinakaa kg ngapi ,AU WAKUSHATOLEWA ZIWANI WAKIWA WABICHI BEI YAKE NGAPI KWA KG ,
I HOPE TO HEAR FROM YOU GUYS,
Hapana boss nilishapata na Ile biashara ilishamalizika boss by the way asante sana boss ,Habari yako vipi mkuu bado unahitaji dagaa???
Ok... boss hamna shida ahsante sanaaHapana boss nilishapata na Ile biashara ilishamalizika boss by the way asante sana boss ,
Sent using Jamii Forums mobile app