Nahitaji dagaa wa kununua

Nahitaji dagaa wa kununua

WIZ MAN

Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
7
Reaction score
3
Amani iwe nanyi nyoote. Wakuu naomba kufahamishwa bei na pahara wanapopatkana dagaa wakavu either wa Mwanza, Bukoba n.k kwa hapa jiji la Dar. Nahitaji wanaouzwa kwa kipimo cha debe (ndoo ya lita 20) na sio kwa kg.

Thanks for advance.
 
Niko tabora kwa sasa ila ni mwenyeji wa mwanza na dagaaa ndo biashara nayoifanya (wakavu) na mpaka mda huu ninao hapa tabora ,naomba kwa mawasiliano tumia hii namba 0742613347 ili nikupatie mzigo ulio bora kwa bei rafiki pia tufanye kazi kwa uadilifu mkubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ikoje mkuu kwa ndoo au kilo
 
Back
Top Bottom