KIJANA WA MUNGU
Member
- Aug 4, 2014
- 21
- 7
Mkuu .... ushauri wa bure tuu .... sasa hivi watengenenezaji wengi wa vyakula vya mifugo hutumia soya kama source of protein content badala ya Dagaa .... soya inayafanya Mayai kutokua na shombo na pia nyama ya kuku huwa na ladha zaidi pamoja na kukomaa vizuri .... soya haikaribishi wadudu kama ilivyo dagaa
jitahidi uangalie uwezekano wa kutumia soya
siku njema