Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Habari! Kama nilipata dalali naomba na mimi msahada. Natafuta dalali wa kuniuzia nyumba yangu iringa.Habari zenu wakuu, nahitaji dalali ambaye ataweza kuuza nyumba zilizopo iringa mjini, Nahitaji awe muelewa na muaminifu ,awe na uzoefu.
Kama yupo njoo PM tufanye mawasiliano
Asanteni
Nipe kazi mkuu mikoa yote Nchini hapa ninao watejaHabari zenu wakuu, nahitaji dalali ambaye ataweza kuuza nyumba zilizopo iringa mjini, Nahitaji awe muelewa na muaminifu ,awe na uzoefu.
Kama yupo njoo PM tufanye mawasiliano
Asanteni
Nitumie namba about nikupe kazi