Nahitaji dashboard ya Modem

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wakuu siku nyingi za nyuma kulikuwa na Dashbord ya modem iliyokuwa inatumika kupiga simu hata kwa hizi modem ambazo hazijachakachuliwa ili zitumie line zote.

Ni muda mrefu enzi zile akina mtimkavu ndo walikuwa wataalamu, sasa nimejaribu kutafuta thread iliyokuwa inazungumuzia hayo nimekoswa nahitaji hiyo dashboard ili nitumie modem yangu ya vodacom kupiga na kupokea kupitia hiyo dashboard.

Msaada wenu tafadhali maana hii yangu imeshindikana kuichakachua kwa upeo wa uwezo wangu
 
Yenyewe hii hapa
 

Attachments

  • Screenshot (18).png
    20.2 KB · Views: 5

Attachments

  • Screenshot (19).png
    688.8 KB · Views: 5
Jaribu kurun kama admin, ama kurun kwa compability mode ya win 7.
Habari Chief, nina modem Huawei E303h-1 ya Airtel ambayo wakati nilipokua na update firmware computer ilizima na baada ya hapo haipigi kazi tena. Nikiiweka kwenye computer inakua hivi:






Na kila nikijaribu ku update firmware tena, inakua hivi:


Na hapa wala haionekani na wala hai install dashboard yake kwenye computer:


Je, hapo kuna namna ya ku solve hilo tatizo au ndo imekufa mazima?
 
Labda ujaribu kwa mafundi wanaoflash simu kama kuna box linaloweza kufufua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…