Nahitaji dawa ya kienyeji ya sikio.

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,886
Reaction score
1,038
Habarini binadamu.Nina tatizo la sikio la kushoto kuweka vipele vidogo vinakauka na kujirudia nimeshameza dawa za kizungu mpaka nimechoka,naomba mwenye dawa ya kienyeji ajitokeze au mwenye ushauri .
 
mkuu unaweka majani yake au unaiwekaje???

Unavuta afu unatolea moshi masikioni!(Joke)

Majani ya bhange mbichi unayasigina then unakamulia maji yake kwenye sikio. Pia mafuta ya kuku wa kienyeji unayachemsha kisha unayasubiria yapoe, yakishapoa unachovya pamba kwenye hayo mafuta then unaweka kwenye sikio linalouma!

Kila la kheri mkuu.

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 

sasa mkuu majani ya bangi mabichi hapa nitapata wapi?
 
sasa mkuu majani ya bangi mabichi hapa nitapata wapi?

Looh! Hapa wap? Muulize mr.Mello au Mr.Mushi.....si ndio wenyeji wa hapa JF? Mimi na wewe na wengineo ni waalikwa tu!

By the way umekuwa interested na hiyo Bhange zaidi hadi unaiulizia hvyo! Au kuna message unataka kui-deliver indirectly? Kama ulipo hakuna Bhange tumia mafuta ya kuku wa kienyeji! Kama na hao hawapatikani basi utakuwa hutaki kupona wewe!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 

Mkuu hapa dar wapi naweza kupata jani bichi la bangi? mafuta ya kuku nimewahi kutumia ila haikusaidia vizuri ila bangi naikia ndio mwisho wa matatizo.
 
hata bangi kavu mi nshamtibu mtu
skio lilikua linamsumbua more than ten yrs akapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…