Nahitaji dawa ya kurefusha uume

Ukiweza kujua ilipo g spot ya demu wako,hata inchi mbili inatosha kabisa.
 
Kunywa maniii ya punda na farasi, yachanye kabla, tia pilipili hoho kadogo weka, paka katika ume wako kwa muda wa siku 28, trust me, ulio kuwa nayo unapata twice or trp.
But I want to tell you one thing, the more it's small the more it's strong.
 
peleka kwa mhunzi atakutengenezea katika umbo utakalo!
 

Mkuu we kabila gani?
 
Wadau kwa mwenye wazo anaweza kunisaidia.

Nahitaji dawa ya kurefusha Uume kwa anayejua dawa anisaidie jina lake ili tuokoe jahazi.

Uume ni jinsi unavyoutumia tu na utundu wako kitandani. Mi no mdada na na nshakutana na mkaka ambaye sikuamini hy size ilivyo ndogo. But aliniridhisha kuliko ex flan hv aliejaliwa ila hakua na nguvu wala hajui kuitumia....labda kama una sababu nyingine za kutafuta kitu kikubwa
 

Acha kumfariji jamaa, wengine tuna ndefu na imejaa kisawasawa,ikisimama haishuki (mpaka uichukue na uigusishe ktk 0714 yako italala maana haipend huko), na kwenye gemu acha kabsa utadhan nalpwa vlee.... Je ufuate kbamia cha nn???
 
Hakuna dawa ya kuongeza uume ipo dawa ya kuongeza hamu nguvu na genye tuu utaibiwa dogo acha kuangalia porn waongo wanakuza kwa picha unaamini kila mmoja analo dude kubwa na yale makelele wanapiga wenzio ni kama muvi unavyoona monalisa analia si kwanba lidude likubwa ndo limepelekea kelele utaibiwa tulia na hicho kidogo kama hakuna dawa ya kurefusha mikono miguu masikio unahangaika nini na dawa ya huko ikulu!!!!!
 
Asisahau kwenda dodoma kwenye kiwanda cha kuchinja punda akaombe ile ya punda ili afanye supu, nasikiaga inasaidia!! jjmm
 
Last edited by a moderator:
Wadau kwa mwenye wazo anaweza kunisaidia.

Nahitaji dawa ya kurefusha Uume kwa anayejua dawa anisaidie jina lake ili tuokoe jahazi.

wachina wanazo dawa za kukuza uume na makalio lakini wao hawazitumii umeshajiuliza ni kwanini?, ni kwasababu hakuna kabisa kitu kama hicho. kwa iyo tulia tu.
 
Tafuta mizizi ya migomba ichemsha kwa maji then yale maji kunywa kwa muda utakaoona imetosha na unaweza rudia rudia lakini inakua sana mimi nilitumia sana enzi ujanani wakati tunasaka mademu kwa mashindano yaani hapa mashine ni kubwa kama ya punda na ndefu kweli sm 20 ikisimama.
 
Mbona mnamkejeli...amekuja kwenye jukwaa lenyewe. Huenda lengo lake ni anapokuwa anakojoa asishikilie uume wake akojoe tu umening'inia...ukiwa mfupi sana unampa shida kushikilia kila saa.
 
Mbona mi kibamia lakini najiamini sana tena napendwa na totoz kwa umahili wa kutumia kimbilimbi changu.
 
Aiseeh Ile masai ya kike ni nouma sana, asante masai kwa kuiondoa kashfa na dharau kwa totoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…