Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

Status
Not open for further replies.


Mmmh shosti hizo hair removal cream nnavyoziogopa huna la kuniambia kama nnavyoogopa kupakaa chochote usoni mwangu zaidi ya mafuta ya nazi au sijui ni ushamba lol...

Ila kidogo umenipa moyo kuhusu veet ntatumia kuondoa vinyoleo vya miguuni na mikononi maana vinaota haraka sana....
 
Unaweza kufanya halawa-wax ya kawaida tu ila inauma sana hususan kama una nywele nyingi
 


sio ushamba kabisa kutumia mafuta ya nazi.
mi nimetumia kwa muda mpaka mpenzi wangu alivyoniambia amechoka na
harafu ya nazi kitandani mmmmhh hawa wanaume.
Ikabidi ni badili sasa hivi natumia Royal Nectar imetenngenezwa na asali.

Anyway hizo hair remove sio za USONI KABASA. ni sehemu nyingine za mwili
lakini si uso.
 

Hayo mafuta ya nazi huna la kuniambia nywele zangu napakaa hayo tu au olive oil sema extra virgin kdg yana harufu siipendi....
 
Acheni Uvivu Tumieni Wembe Kila Siku Mnaambiwa Madhara Ya Creams Nyie Bado Mnatumia Nawaonea Huruma Ndugu Zangu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…