Nahitaji dawa ya maumivu ya kiuno na mgongo

Uchepe

Member
Joined
Feb 5, 2024
Posts
5
Reaction score
12
HabarI za Leo Ndugu zangu.
Anayejua Dawa ya Maumivu ya Kiuno Na Mgongo.
Nafahamu hili ni suala la Ku- Sex Lakini Bado Sijapata MCHUMBA.
Nipo Busy sana na kazi Jumatatu Mpaka Jumamosi hivyo Nakosa Muda Mzuri wa Kuwasaka Wachumba.

Nimemeza sana Dawa Za Kutuliza Maumivu Lakini Naona imeanza Kuwa Too Much sasaa.

NB; Msiniambie Kuhusu DADA POA , Wala Punyeto. Mimi Nimeokoka Mwenzenu.

MUNGU AWABARIKI.
 
🤣🤣🤣unaumwa alafu tena unawaza ongeza ugojwa nan alikwambia sex ni dawaa
 
Nunua na godoro bora sio unalala kama uko kwenye mtumbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…