Nahitaji Dawa ya palizi ya mahindi

Nahitaji Dawa ya palizi ya mahindi

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nipo Karagwe Kagera.

Nahitaji dawa ya magugu kwa ajili ya kupalilia mahindi.

Nisaidiwe kuipata pamoja na bei yake.
 
Nipo Karagwe Kagera.

Nahitaji dawa ya magugu kwa ajili ya kupalilia mahindi.

Nisaidiwe kuipata pamoja na bei yake.
Tsh 15000
IMG_20231018_183536_316.jpg
 
Back
Top Bottom