D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Oct 26, 2023 #1 Nipo Karagwe Kagera. Nahitaji dawa ya magugu kwa ajili ya kupalilia mahindi. Nisaidiwe kuipata pamoja na bei yake.
Nipo Karagwe Kagera. Nahitaji dawa ya magugu kwa ajili ya kupalilia mahindi. Nisaidiwe kuipata pamoja na bei yake.
herio JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,245 Reaction score 4,320 Oct 26, 2023 #2 Siti ya mbele kabisa
S Saad10 Member Joined Aug 2, 2017 Posts 21 Reaction score 4 Oct 29, 2023 #4 DENAMWE said: Nipo Karagwe Kagera. Nahitaji dawa ya magugu kwa ajili ya kupalilia mahindi. Nisaidiwe kuipata pamoja na bei yake. Click to expand... Tsh 15000
DENAMWE said: Nipo Karagwe Kagera. Nahitaji dawa ya magugu kwa ajili ya kupalilia mahindi. Nisaidiwe kuipata pamoja na bei yake. Click to expand... Tsh 15000
Nick J Vuitton Member Joined Oct 6, 2016 Posts 56 Reaction score 153 Oct 29, 2023 #5 Saad10 said: Tsh 15000View attachment 2796750 Click to expand... Hii utaunguza mahindi vibaya mno hii inatakiwa upoge kabla haujaotesha kama Kuna majani unampeleka Chaka mwenzio
Saad10 said: Tsh 15000View attachment 2796750 Click to expand... Hii utaunguza mahindi vibaya mno hii inatakiwa upoge kabla haujaotesha kama Kuna majani unampeleka Chaka mwenzio