Nahitaji Dereva mwenye leseni

Nahitaji Dereva mwenye leseni

Mkuu umeshindwa kupiga mwenyewe? Madereva wengi siku hizi ni auto tu
 
Mkuu nipo Mimi hapa, Ni dereva mzoefu na mwenye leseni class A,B,D na E ...Nimeendesha malori Safari za nje ya nchi na mikoani hivyo Nina uzoefu wa kutosha, Nipo chanika pia
 
npo hapa mkuu
nina lesen imejaa madaraja yote ya kuendesha gari kasoro daraja C tu
 
natafuta Gari ambayo nitkuwa na leta hesabu iwe private au commercial am confortable with it kwaio mwenye Gari naomb anichek kupitia no hii 0628729873
nina vigezo vyote na uzoefuu juu yake naombeni ushirikiano wenu
 
Back
Top Bottom